Breaking News

PEACE MAYDA FT.JUMA JAZZY-CALENDER


 Track yangu mpya imefanyika katika studio ya MpoAfrika Studio iliyopo Dar es Salaam Tanzania chini ya Producer Benny Mwamba(Benny Flaver Tz) naombeni support yenu ndugu zangu kwenye media,mie naitwa
Peace Mayda(David P.Mayunga) mwanamziki pia mwanahabari Tanzania.Ahsanteni sana,Mungu awabariki nyote.namba yangu ya simu ni: +25 653 67 0909 au +255 653 67 0909,e-mail ni peace.mayda@yahoo.com au peace.mayda@gmail.com...facebook page...peace mayda-tz,profile yangu ni&<;br />;  www.eacebook.com/david.mayunga1(peace mayda tz)


                wimbo huu umeimbwa na Peace Mayda (DAVID PHARLES MAYUNGA) Msanii wa Bongo Flaver na ni Mwanahabari nchini Tanzania,wimbo huu ni maalumu kwa kumbukumbu ya uhuru wa Tanzania,kwa mawasiliano:e-mail,peace.mayda@yahoo.com,peace.mayda@gmail.com,phone no.+255 653 67 0909,P.oBox 7661 DSM TANZANIA.wimbo huu umerekodiwa na Benny Mwamba na kushutiwa na Edward Kirutu katika TBC Production(TANZANIA BROADICASTING COPERATION)

No comments