Breaking News

WASANII WACHOMA DAMU BILA CHAPAA-MISS LAKE ZONE INTER COLLEGE- KAGERA


Baada ya kumalizika kwa mashindano ya kumsaka miss lake inter college kwa mkoa wa kagera yaliyofanyikajumamosi ya tarehe 23 Juni,2012, baadhi ya wasanii wa muziki waliotumbuiza katika shughuli hiyo iliyoonekana kufana, wametiririka na kusema hawakupewa chapaa.

Wasanii waliotumbuiza katika kinyang'anyiro hicho ni pamoja na Khadija Kopa, wakati  wasanii wa nyumbani walikuwa ni Puya Man, Jimmy Yeyyo...
Akiongea na FOR GOOD FOR MUSIC mitaa ya BK, mmoja wa wasanii hao alisema kuwa baada ya show, msimamizi wa kazi zima ambaye pia ilibidi awatoe wasanii hao mpunga, alitokomea mitini. Tetesi zinasema kuwa msimamizi huyo aliondoka kwa ndege ya asubuhi siku baada ya pamoja na mkongwe wa mipasho Khadija Kopa.
Kinachoonekana ni kwamba wasanii wa nyumbani ndio hawajapewa malipo ya namna yoyote.kwa habari zaidi
TEMBELEA

http://forgoodformusic.blogspot.com/2012/06/wasanii-wachma-damu-bila-chapaa-miss.html?spref=fb


No comments