Breaking News

Fredrick Bundala Ten Years Later ….. Letter to Dandu!


Ten Years Later ….. Letter to Dandu! Jumatatu ya tarehe 27, August, 2012 ni miaka kumi tangu kifo cha marehemu James Maligisa Dandu aka "Mtoto wa Dandu" ama CJ Massive, aliyefariki kwa ajali ya gari jijini Dar es Salaam, August 27, 2002. Japo ni kama vile watu wameanza kumsahau lakini mimi sitoweza kumsahau kamwe. Aliniinspire sana kufanya muziki. So wiki hii mpaka ijumaa nimeamua niitumie kutafakari mazuri aliyoyafanya kwenye muziki wa Tanzania na nimemwandikia barua hii. Unaweza kuisikiliza barua katika wimbo pia kwa kudownload link hiyo.

No comments