NEW HIT : Mjukuu wa Mr.Ebbo(Sudi baya)ft Baghdad....Lusifa song Produced and Mastered By Mr.T Touchez
Mjukuu wa mr.ebbo na ndiye mrithi wa mr.ebbo ila na shangaa kunyanganywa
jina hilo na msanii ambaye alikuwa ni rafiki yangu toka zamani anaitwa
tash nilimpokea toka arusha na kuwa nae ktk studio za difatarity na
baada ya kusaidiana mawazo kuandika naye myimbo ya chapia ila nashangaa
hiyo nyimbo ilivotoka tash akaanza dharau..............nakuanza kunipgia
simu kunitukana baada ya kuhama studio za difarity nakuhamia shine
records ndipo yalipoanza majungu,fitina na mengine
mengi,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kwa mengi zaid nchek 0715323210
No comments