Breaking News

NEW TRACK - NYOTA YA MOYO - Newe ft Soprano

Subject: TRACK NYOTA YA MOYO Jina la Nyimbo : Nyota ya Moyo. Artist name : Newe ft Soprano Producer : Amba Studio : Amba'z Records Natoka Shinyanga , Jina langu kamili naitwa Newe Mpemba na hii ni kazi yangu ya kwanza !! Nomba Support kwa kila mdau atakae penda na kukubali jitihada hiz za sanaaa napatikana kwa namba ya Simu 0714 526240 , 0767 526240 Ni moja ya vijana wapenda Maendeleo ,japo niliona nifanye Commercial kama kazi yangu ya kunitambulisha ktk sanaa hii, lakini pia ni Mdau mzuri wa nyimbo za Kuhamasisha kwa upande wa Hip hop na kazi ya pili itakuwa ya mahadhi hayo !!!

No comments