Breaking News

NEW AUDIO &VIDEO - AM SO HOOD - YOUNG TAYTER

Huyu ni msanii mwenye umri mdogo japo ni up coming artist katika miondoko ya hip hop Nyimbo hii imetengenezwa katika studio za Tang rec Japo bado anatafuta mtu ambae ataweza kumpa support na kumuinua kimuziki(kwa mawasiliano unaweza kuimail djcashmizo@gmail.com.)

No comments