Breaking News

NYIMBO YA (NIMEWAZOEA) YA DGOLD YALETA UTATA NA MASWALI YA POLICE

NYIMBO YA (NIMEWAZOEA) YALETA  UTATA NA MASWALI YA POLICE ,WIKI MOJA TANGU MSANII WA HIP HOP TZ DI GOLD AIACHIE NYIMBO YAKE YA NIMEWAZOEA ALIYOMSHIRIKISHA BAGHDAD NA MWANADADA TOKA KENYA ( KETO) , KWE NYE MEDIA.KISA NIKUTOKANA NA MASHAIRI YAKE KWENYE VERSE YA PILI.ISEMAYO.WOLPA ALILA NA JUX KESHO AKANTOGOZA MIMI ANADAI ME NI MKALI WAKATI JUX NI MSHKAJI.

No comments