Breaking News

Mudi kilosa - Hisia za moyo.(Dj cashmizo Exclusive)

Muddy kilosaa achia track mpya aliyoifanya studio inayoongoza kwa scandle za bifu kila utakaposikia habari kutoka kwao! Na si mara ya kwanza kutengeneza hit mpya kila siku ingawa bado sijajua siri ya kuweza kufanya vizurio kwa mwaka 2013 kwenye industy ya mziki wa wa bongo flavor! Shione rec ambapo Mr t ndie aliehusika kwenye miundo mbinu ya pishi liitwalo Hisia za moyo kutoka kwa msanii ambae ana asili ya uarabu kwa sababu babu yake mzaa baba nio muarabu lakini yeye ni raia halali wa Tanzania. Ombi lake kwa watanzania ni kumpokea na kumwamia yale atakayokuwa hayajawafurahisha ili kufikia kwenye malengo aliyoyapanga ili kusogeza mziki wa bongo flavor!

No comments