Breaking News

+255 NEW MUSIC ANTHEN - BAGHDAD FT WABABA ~MPAKA LINI prodBy Young keezMasteredByMr.T Touches

Track : Mpaka Lini
Artist : Baghdad Ft Wababa
Studio : St Record
Producer : Yung kizi
Intro
  Wababa : mwa mwa mwa
                    mwa mwa mwa
                    mwa mwa mwa
                    mwa mwa mwa
                   mwa mwa mwa
                    mwa mwa mwa
                    mwa mwa mwa
                    mwa mwa mwa
verse 1
The heavy whet a.k.a dady au papi na unawish tungeoana
Na we ni black beauty mama mamy inapendeza tungeoana
Mishe zangu dushelele pushe pushe na baba ako ni poster
Nawaza nikurushe ili uende kaburu na ukirudi ndo tule bata

Tutavaa nini bila ya mishe mishe
Hunny tutakula bila ya mishe mishe
Bila kuuza unga na mbutee nangai na motema nisifikishe

Asee tutakuwa mabubu mpaka lini
Honey tutakuwa viziwi mpaka lini
Haya maisha ya boy friend na girlfriend tu
Honey tutayaishi wote mpaka lini

Baby tutasemwa semwa mpaka lini
Tutakuwa midomon mpaka lini
Haya maisha ya boy friend na girlfriend tu
Honey baby tutayaishi mpaka lini

Aseee okey mama mama mama mamushka “I love you”
seiya mama mama mama mamushka “I need you”
moyo unadunda dunda tu ntamuogopa baba ako mpaka lini

sey tena  mama mama mama mamushka “I love you”
seiya mama mama mama mamushka “I need you”
the havey wheit na we ni black beauty na wish tutaoana

chourus
naelewa maisha ni subira ni subira mbona kwetuimezidi sana….
Wazazi wanataka wajukuu na angali hatujaoana………..
Nieleze mpaka lini, wololo!  wololo  wololo  wololo
Mpaka lini mama,   wololo ! wololo  wololo  wololo
Mpaka lini wewe,    wololo  wololo  wololo   wololo
Nieleze mpaka lini,  wololo wololo   wololo   wololo

  Verse 2
Nimeshawaza waza na wewe ukiwaza na kuwazua
Honey Tusije tukashangaza jamii mamy beyb  tukawa vilema wakuamua
Embu waza baba ako na mama ako wasingefunga ndoa honey vip leo mngekuwa
Fikiria kaka ako na wifi yako wasingefungandoa leo vip ingekuwa

Wapo wanaoukufil na wanakupenda, mbele ya wazazi wataapa wanakupenda
Ukiwapa love honey baada ya siku kenda, wameshakuchoka hawataki kukupa ata denda
Mi ndio naekufil na ndo naekupenda, mbele ya wazazi ntaaapa  nakupenda
Ata unipe love honey baada ya miaka kenda, siwezi kukukimbia mbali nikaenda

ila sipendi ukinuna
Sura inatuna kama nguna
Ila ukicheka maa furaa kwangu na ndo maana nanuna

ila sipendi ukinuna weweeeee!
Sura inatuna kama nguna
Ila ukicheka maa furaa kwangu na ndo maana nanuna

Chorus
chourus
naelewa maisha ni subira ni subira mbona kwetuimezidi sana….
Wazazi wanataka wajukuu na angali hatujaoana………..
Nieleze mpaka lini, wololo!  wololo  wololo  wololo
Mpaka lini mama,   wololo ! wololo  wololo  wololo
Mpaka lini wewe,    wololo  wololo  wololo   wololo
Nieleze mpaka lini,  wololo wololo   wololo   wololo

Outro
Wordaaa asey baghddibibididbi d dabidibidadi wababa
Dar  to Kilimanjaro mpaka linddi
Dar to Kilimanjaro mpaka linddi
Dar to nKilimanjaro mpaka linddi
b.a.g.h waziwanda what’s up

Dar to Kilimanjaro mpaka linddi
Dar to Kilimanjaro mpaka linddi
Dar to Kilimanjaro mpaka linddi
Aaaa aaa aaa aaa aaaau aaaau

Nilikuwa cha pombe we “ mwa mwa mwa”
Nilikula mirungi “mwa mwa mwa”
Vitoto usiseme  “mwa mwa mwa”
Akia mungu swagaa zako zimefanya nibwage weee

Bagdibidibi dabidibidabidib
Waziwanda what’s up
Young kiz
St rec


No comments