Breaking News

Brand New Track by Chege ft Malaika - Uswazi Take Away

Ni track mpya kabisa kutoka kwa "Mtoto wa Mama Saidi" Chege Chigunda, ikifahamika kama Uswazi Take Away. Humu ndani Chege akiwa ameshirikiana na Malaika.
Ngoma ikiwa imesimamiwa kwa karibu na Tudi Thomas pamoja na Dunga katika studio za
 producer Tudi Thomas...
Sikiliza na kudownload hapa chini:

No comments