Breaking News

Kigoma All Star - Nyumbani [Exclusive Kigoma Anthen Dj cashmizo]

Baada ya LEKA DUTIGITE, ngoma iliyofanya vizuri sana redioni na kwenye masikio ya wengi, kundi hilo limerudi tena, likifahamika kama Kigoma All Stars wakiwa wamekuja na ujio mwingine mpya na track inaitwa ''Nyumbani''.
Unaweza kuisikiliza hapo chini pia unaweza Kudownload...


No comments