Breaking News

NEW ANTHEN - Makomando ft. Tunda Man, Amini, Rich Mavoko, Banana, Ally Nipishe, Barnaba, Young Chaliz - Simama [Remix]

Wakali wa "Kibega" wakiwa ni moja ya makundi ambayo yanatisha sana on stage sana sana kwa style za kucheza na kuimba, hawa ni MAKOMANDO, hapa wakiwa wamerudi tena na ngoma nyingine ambayo ni remix ya SIMAMA. Humu wakiwa wamewashirikisha Tunda Man, Amini, Rich Mavoko, Ally Nipishe, Barnaba na Young Chaliz...

No comments