Breaking News

Nikki Mbishi & Godzilla ft. Cliff Mitindo - Kill Yo'self...

Ni ngoma mpya kabisa kutoka kwa Nikki Mbishi "Play Boy" na Godzilla "SalaSala" ikimshirikisha Cliff Mitindo. Ni ngoma mpya inayofahamika kama Kill Yo'self ikiwa ndani ya mixtape ya "KKK" inayofanywa kwa pamoja na rappers Nikki Mbishi na Godzilla.
Kill Yo'self ni ngoma iliyofanywa katika studio za Mpo Afrika producers akiwa Ben huku beat ikisukwa na Nikki Mbishi himself.
KKK ni mixtape mpya inayofanywa na Nikki Mbishi na Godzilla ikiwa ni sehemu ya project inayofuata wakiwa pamoja.
Track Name: Kill Yo'self
Isikilize hapo chini...

No comments