Breaking News

+255 BAGHDAD INVITATION - Usiku wa bata ndani ya club kakala!


Usiku wa bata! Usiku wa kuku!
  Ni usiku wa uzinduzi rasmi wa nyimbo mpya ya baghdad aliyoifanya na mshindi wa tatu wa shindano la ebss 2012 – 2013 inayofahamika kama mpaka lini, inayofanya vizuri kwenye vipindi  vya radio nyingi za ndani na nje ya nchi.
Ni usiku wa kipekee kwa kuwa bata litaliwa na wana wa vyuo vyote vya kijanja, huku bata litakuwa sawa pale mtoto wa kuitwa baghdad atakapokuwa stage ,moja na abdul kiba, wababa,, suba mkole, na waziwanda kwa kiingilio cha sh 6000 mlangoni siku ya j mosi tar 23.3.2013,
Baghdad amesema ya kuwa Mengi yameahidiwa yatayofanywa  kwa kuwa watu atakaokuwa nao wote ameshafanya trac na zinakuja kwa hiyo kuna uezekano wa kuzisikia kwa mara ya kwanza akizungumzia ngoma aliyofanya na abdul kiba amesema ilitakiwa kutangulia lakini iko mbioni kumaliziwa na kufanyiwa video mara tuu baada ya kuachia kichupa cha nyimbo ya mpaka lini alioiachia na kuhusu kazi aliyofanya na suba mkole amesema ni nyimbo kali sanana na pia imeshafanywa wanasubiria pasaka iishe ili wafanye kichupa chake ambacho kitatoka kabla ya mwezi wa 6 baghda amesema sina zaidi ya kusema mwaka wangu!

No comments