Breaking News

+255 NEW MUSIC ANTHEN BORA NIENDE - ENJII

Asalam aleykhum wakurugenzi,,nadhani mwamkumbuka dada huyu mzuuri aitwa ENJII.Alishawahi kutamba na ngoma yake ya kwanza iitwayo WEWE akimshirikisha Chidi Benz.Hapa amerudi tena na track mpya iitwayo BORA NIENDE iliyofanyika SEDUCTIVE RECORDS kwake Producer T Touch.Anahitaji sapot yenu sana wadau wangu...watoto wa kike wanaweza.unaweza mcheki moja kwa moja kupitia hii namba 0716 28 17 59.Thanx sana kwa ushirikiano.

No comments