Breaking News

+255- NEW HIT Newe ft Soprano Nyota ya Moyo

Hey niaje Party??? Niite Supa newe from Shinyanga, naewakilisha vyema hii game ka Fid wa Mwanza
Au Izzo wa Mbeya ,, Usione mdogo mdogo mie najipanga , Pia nasogeaaa,
Hii tym sintowalea ,,,Aaaaahhh inatosha bana!!!
Ebana hio ni video yangu done by E- MEDIA chini ya Director Sama n Nick dizzo.
Location : Dar
Song : Nyota ya Moyo
Artist : Supa Newe ft Soprano
 

No comments