Breaking News

+255 NEW HIT - Sajna ft. Ben Pol & Sisa Madini - Ningekuwa Single

Hii ni OFFICIAL NEW SINGLE ya SAJNA aliyowashirikisha BEN POL na SISA MADINI wimbo unaitwa NINGEKUWA SINGLE.

Originally idea ya wimbo huu imetoka kwa Kid boy, na chorus imeandikwa na kid boy na melody ya chorus. Verse ya 1 imeandikwa na Sajna, Verse 2 imeandikwa na Ben Pol na Verse 3 imeandikwa na Sisa Madini.

Executive producer ni Kid boy, Tetemesha Records DSM.

Vocals za Sajna na Sisa zimefanywa One Love fx Mwanza


Contact: Sajna O763 698208


Thanx

Kid boy

No comments