Breaking News

+255NEW MUSIC | John B Presents Life Goes on-Mo Plus,Chibo,Kallah Jeremiah,G Nako,Chaba,Ibra,Ordinally,TDX,Jordan(Grandmaster) | Download

Baada ya kutoa wazi mapema mwaka huu,nimekua inspired sana kufanya ngoma za namna hii,kuna talent kubwa sana ambayo haifahamiki kwenye industry na binafsi nina mambo mengi ambayo naona yanafumbiwa macho na hii inakua kama platform ya wasanii mbalimbali kukutana,kuexchange ideas na kuongea yale wanayoyaona kwenye jamii,nashukuru sana media zote, sites na blogs kwa support kubwa wanayoitoa kwaajili ya muziki mzuri,nauchukulia huu kama mwanzo mpya na wito kwa wasanii kuona mbali zaidi ya industry ilipofikia sasa.
John B for Grandmaster Records.
Sikiliza/Download Life Goes On - G Nako,Mo Plus,Chaba,Chibo,Kala Jeremiah,Da Hustler,Jordan,Ordinally & TDX hapa;
 
Pia Sikiliza Audio yake hapa;

Song Credits
Song; Life Goes On
Artists: John B Presenting Kalla Jeremiah,Mo Plus,Chibo,G Nako, Jordan,TDX,Ordinally,Chaba,Ibra Da Hustler
Producer: John B (John Blass)
Studio: Grandmaster Records

John Blass Mallya
For, 
    Grandmaster Records, Kaz Studio, Cannibal Shattah & Makini Music

    +255787276352+255754201643+255715201643, +254729990851
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com
www.kazstudioarusha.blogspot.com

--
You can loose a lot of money chasing women,but you can not loose a woman,chasing money

John Blass
Grandmaster Audio and video Studio,
+255754201643/892686,
Box 464,
Arusha.
Tanzania.

No comments