Breaking News

ARTIST HABIDA....ARUDI KENYA RASMI....!


HABIDA MALOONEY EBO
Artist mKenya,Habida Malooney kwa sasa amerejea nchini Kenya baada ya kufunguka kuwa maisha ya Bongo Dar es Salaam ni magumu kumeza
MR & MRS EBO
Habida aliyeolewa na Daniel Ebo na walihamia Tanzania kikazi zaidi na amefunguka zaidi kuwa japo ameishi kwa muda mchache TZ,lakini anajivunia hatua aliyopiga mpaka kimuziki akiwa Bongo coz amesha-record collabo na Chidi Benz na Nonini pia amebadilishana ma-contact na na Management ya international star Ludacris alipokua bongo na kwa sasa anatarajiwa kudondosha kitaani album yake ya kwanza soon yenye ngoma kali kama Kesho na Get Down ambazo zinapata airtime ya kutosha kwa sasa.... Afrika Mashariki....!
....IN DA STUDIO....

No comments