Breaking News

VIDIO YA GANJAMAN TOKA KWA dABO RMX TOKA KWA DJ CASHMIZO!!!!

                 Track inaitwa ganjaman toka kwa msanii Dabo chini ya Imotion RECORD producer kisaka vidio imetengenezwa na Passionate films lakini hii ni RMX toka kwa Vj&dj cashmizo mega vidio miondoko ya raga.Ni wengi walio pata kuonekana katika vidio hii akiwemo dj mmoja kutoka bukoba ambaye kwasasa kamaliza masomo yake pande za UG pamoja na mkali wa raga bongo Hardmad hii ni Rmx version cashmix ridhim toka kwa dABO

No comments