Breaking News

KEKO KUUNGANA NA DJ BUSHBABY....XFM...UGANDA!


JOCELYN KEKO AKA KEKO
Jocelyn Keko aka Keko,female rapper toka Uganda anataka kuwa mjasiriamali zaidi coz ana mishemishe za kuanza kazi kama radio prezenta hivi karibuni
MICHAEL OWOR AKA DJ BUSHBABY
Keko anatarajiwa kuanza kazi kama presentor kwenye ujio mpya wa 98.4 FM iitwayo XFM kwenye show ya usiku ambapo atakua anapigwa na baridi kwa masaa mawili na Keko anatarajiwa ku-graduate wiki chache zijazo,Pia anatarajiwa kuungana na Michael Owor aka DJ BushBaby ambaye aliwahi ku-bang sana TZ akiwa East Africa Radio & TV,naye ametajwa kujiunga na radio hiyo ambayo inazaliwa upya August,2011 na atasikika kwenye show itakayoitwa XAM itakayoanza saa 12 asubuhi mpaka saa 4 akiwa na kina Rudende na Sultry Siima kwenye show hiyo na kila Jumamosi atafunguka kwenye show itakayoitwa xplosion kuanzia saa 3 usiku mpaka 7....

No comments