Breaking News

WALE....AFANYA REMIX YA NO ONE LIKE YOU...!


WALE - AMERICAN ARTIST
American Rapper,Wale amefanya remix track iliyofanywa na P-Square toka Nigeria iitwayo No One Like you kwa kutupia rap na kwenye chorus P-square wamekamua kama kawa....
P-SQUARE
Wale aka Olubowale Victor Akintimehin,ambaye wazazi wanatoka Nigeria, alianzia kwa Producer Mark Ronson wa Allido Records halafu Interscope Records kwa dola milioni 1.3 na kwa sasa yuko kwa Rick Ross chini ya Maybach Music Group lakini alizaliwa Washington, D.C na kufanya remix hiyo ya No One Like You wadau wamefunguka kama ana-pay some respects kwa home country yake toka Africa ambayo ni Nigeria....Lakini pamoja na kufanya remix hiyo...hakuifunika ile original version ya P-Square...!

No comments