Breaking News

ELEPHANT MAN....KUPIGA SHOW MARA YA 3 UGANDA...!


JOSEPH MAYANJA - CHAMELEONE
Artist ndugu wa damu toka ukoo wa Mayanja nchini Uganda Joseph Mayanja aka Jose Chameleone na Douglas Mayanja aka Weasel TV toka GudLyfe Crew,wameingia kwenye beef mpya kwenye showbiz industry nchini Uganda
DOUGLAS MAYANJA (WEAZEL TV) VS JOSEPH MAYANJA (CHAMELEONE)
Beef hiyo inatokana na ujio wa mdogo wao,Artist AK47 ambaye kwa sasa ameanza ku-shine nchini humo,Na hivi karibuni kuachia ngoma inayowahamasisha kaka zake kuacha beef waliyonayo na inafunguliwa kuwa Weazel alimpigia simu AK47 na kumshawishi ajiunge na Crew ya GudLyfe na kuachana na crew ya kaka yake Chameleone ya Leone Island Crew na ndipo Chameleone alipoidaka simu na kumpiga mkwala Weazel kuwa asithubutu kumrubuni AK47 kwani atamfanya kitu kibaya ambacho hawezi kusahau....

No comments