Breaking News

SHAROMILIONEA anakuja na VIDEO nyingine mpya "MUUZA SURA"

                             
Msanii wa bongo fleva pamoja na bongo movie & comedian Sharomilionea kwa sasa yuko mbioni kutoa video yake mpya itakayojulikana kwa jina la MUUZA SURA. Video hiyo ambayo amemshirikisha msanii mwingine anayejulikana kwa jina la AT sikuweza kujua kwa haraka ni kampuni gani imetengeneza hiyo video.
                             

No comments