Breaking News

Vumbe Ndani ya new hit !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

                                                                 Artist :   Vumbe
                                                     Artist: VUMBE                                                                      
Huyu ni msanii Toka katika studio za Tang Record inayopatikana BkB,Na weak hii ameachia ngoma yake mpya ambayo inatambulika kwa jina la Nikubalie,Inayopatikana ndani ya album yake mpya inayoitwa Sikiliza yenye jumla ya nyimbo 10,,Nikubalie ni nyimbo ambayo kamshirikisha Sajna na inafanya vizuri tangu ilipoachiwa katika radio station mbali mbali nje na ndani ya nchi,,,,,,,

No comments