Breaking News

NEW TRACK : SAJNA_ft._VUMILIA_-_MWANANGU


Tetemesha Records inamleta kwa mara nyingine msanii SAJNA na safari hii amemshirikisha msanii wa kike anaitwa VUMILIA aliewahi kufanya vizuri na nyimbo kama (Utanikumbuka) na nyingine nyingi. Wimbo huu mpya wa SAJNA unaitwa "MWANANGU". Huu ni wimbo ambao unazungumzia mapenzi ya mzazi kwa mwanae, na umelenga pande zote yaani mzazi wa kike na mzazi wa kiume, pia mtoto wa kike na mtoto wa kiume. Lakini pia hata wale ambao hawajapata watoto hawakusahaulika. Hivyo kwa mantiki hii ni wimbo unaomgusa kila mmoja katika jamii.

  Track Name: MWANANGU Artists: SAJNA ft. VUMILIA Lyrics composed by: SAJNA, JOSEFLY & KID BWOY Arranged by: KID BWOY Produced by: KID BWOY & AMBA Mixed by: KID BWOY Studio: TETEMESHA RECORDZ BOFYA HAPA

No comments