Breaking News

Alichosema Rama Dee baada ya kuzushiwa Kifo...

Msanii wa Muziki wa Bongo fleva, Rama Dee ambaye makazi yake yapo Australia, Jana amepost ujumbe mzito kwenye ukarasa wake wa facebook baada ya kuzushiwa kwamba amedanji. Rama Dee aliandika:

"Huu mchezo wa kuzushia watu wamekufa sio poa kabisa...inaonyesha ni jinsi gani akili yako ilivyo na matope ya ushamba na uchafu wa ulimbukeni....juzi mchizi wangu ametumiwa msg kuwa mimi nimedanja sio inssue subirini siku ikifika nikidanja mtapata habari ya kuandika kwenye page zenu Au blogs ila kwasasa punguzeni mizuka ya kise**e ni hayo tu asante."

No comments