Breaking News

DABO ATOA SHUKRANI KWA MEDIA PAMOJA NA MITANDAO YA KIJAMII!!


Nitangulize Shukrani za dhati kwa Media mbalimbali sambamba na mitandao ya kijamii baada ya ngoma yangu African Girl kuwafikia watazamaji takribani milioni 10 nchini Liberia kupitia TV yao ya muziki na pia kupitia mtandao wao (Youtube) amabo umeweza kuwafikia watu 14,602 na pengine ndio unaoniweka kuwa moja ya wanamuziki wa kitanzania waliowahi kutazamwa zaidi kwenye media za nchini Liberia mpaka kufikia leo January mwaka 2013


No comments