Breaking News

R.O.M.A Aeleza Maana Ya Mistari Hii Ya 2030...

  Mida flani ya leo mchana, msanii maarufu anaetamba na track yake mpya ya 2030, Roma Mkatoliki amefanya kutoka maana ya ya baadhi ya lines zilizo katika ngoma yake mpya hiyo kupitia ukurasa wake wa facebook.
ROMA mwenye mistari mikali iliyokaa kimapinduzi, alianza na ule unaouuhusu mji wa Tanga, akiwaambia wana Tanga "TANGA MMEKOSA NINI, AMKENI ACHENI UMWINYI, HAWA WACHAGA HAWATUWEZI ONA MANKA BARA 20"
R.O.M.A aliendelea kuachia maana hizi, na kuhamia kwenye huu "UNAPEWA CONTENA LA CONDOMS UIHONGE DHAHABU, MV SPICE ILIPOZAMA TV INAONESHA TAARAB" na kuelezea maana yake hapo chini,..
 TANZANIA EEEEE!!! NCHI YANGU OOOHHHH!!!
A fil ma bebe......STORY....and gues what!!! nhhhhm
SOON UTASIKIA NGOMA YAKE MWENYEWE

No comments