Breaking News

Download Buibui - Hii ngoma |2014 Dj CashMizo Music)


                                            BUIBUI hii Ngoma  kwa stair ya KICHICHI MAWE.Kichichi mawe ni aina ya mchezo mpya wa kucheza na  ninjia pia ya kupongezana kama sisi vijana kwakila jambo linalofanyika, Chichi mawe ni jina la bondia wangumi Tanzania anaejulikana sana kwa jina la Franc Miyayusho. Hivi karibuni Franc amekua akishinda mapambano yake yote na hana historia ya kupigwa hata mara moja. Kwa kuliona ilo mimi kama Buibui na nimsanii wa mziki huu wa nyumbani nimeona bora nimpongeza rafiki yangu mpendwa kwa kutoa aina ya uchezaji inayoitwa kichichi mawe.Kichichi mawe nitakua nacheza kila nitakapo kuwa kwenye show zangu na nitakua nacheza pia kwenye ngoma hii na nipo kwenye maandalizi ya mwisho ya Video yake na nitaonesha jinsi ya uchezaji huo mpya nilioupa jina la KICHICHI MAWE.No comments