Breaking News

AUDIO| HALLELUYAH Refix Wakazi ft Sabi Atan | Watch/Download

Hii ni Refix ya "Hallelujah" iliyofanywa na Wakazi, akiwashirikisha wasanii wapya Atan na Sabi ambao wapo chini ya Usimamizi wa Workethic. Remix hii itakuwa ndani ya special mixtape ya Valentines Day, ambayo ni kama zawadi kwa fans wakati wakisubiria release ya album ya wakazi inayotarajiwa kutoka mwisho wa mwezi wa pili. Wimbo wa Hallelujah originally uliimbwa na nguli Diamond Platnumz akishirikiana na Morgan Heritage.

No comments