Breaking News

LAURYN HILL....APATA MTOTO WA SITA....!

 


ROHAN MARLEY vs LAURYN HILL
Mshindi wa tuzo ya Grammy na msanii wa zamani wa kundi la fugees,Lauryn Hill amejifungua mtoto wa 6,baby boy
Kwa mujibu wa Mume wa Lauren Hill,mtoto wa Bob Marley Rohan Marley amefunguka kuwa mtoto wao wa 6 alizaliwa Jumamosi usiku na anakwenda kwa jina la Marley by dj cashmizo

No comments