Breaking News

Digold kuachia ngoma mpya!!!!!!!!!!!!

                                                                   Artist : Digold
Msanii anaye julikana kwa jina la Digold kaachia track yake mpya inayo tambulika kwa jina la Mapenzi ya chini ya producer Mika j, studio ni B records inayopatikana pande za masaka ni katika kusimamisha style ya banana flouver wiki ijayo utaweza kuisikiliza kupitia blog yetu pamoja na mtandao wa facebook bk stend up. Dgold ni msanii anayejulikana kwa track ya hisia alikuwa amemshikilisha Blad key

No comments