WAISLAMU....WALIPANGIA MAKUBWA...CHAMELEONE..!
Wakati Chameleone ametangaza kujiita Japhar Ghadafi na
kuingia kwenye dini ya kiislamu,Waisalmu wa nchini Uganda waliamua kuonesha
support yao kwa Chameleone kwa kumuanzishia mfuko maalum kwa ajili ya kumsaidia
kujifunga vizuri misingi ya dini ya kiislam aka Islamic
principles
....GHADDAFI
PANDE ZA KIBULI MOSQUE....
Chameleone ambaye kwa siku 6 tu alikutana na sebene kali
toka kwa familia yake na ya wife wake Daniela baada ya kuamua kusepa na
kumuachia jumba lake,alikua tayari ameshaanza kufanyiwa mishemishe za visa
kwenda kwenye nchi za kiislamu kwa miezi 6 kujifunza zaidi
Uislamu....
....YUSSUF ISLAM AKA CAT STEVENS....KIDINI
ZAIDI...
Pia
wakati Daniela amesepa na watoto waislamu hao walimuambia asepe tu coz walikua
wamemuwekea totoz wazuri wa kuoa wa kiislam kama 12 hivi na kama kuhusu mziki
mbona Artist otka Uingereza aitwaye Cat Stevens alibadili dini na kuwa Yusuf
Islam na anaendelea kufanya mziki kama kawa na bado mpaka sasa mziki wake
unapendwa na vijana pamoja na wasio waislamu





No comments