Breaking News

HARUSI YA BOBI WINE...YALETA KASHESHE..!


ROBERT KYAGULANYI AKA BOBI WINE
Inasemekana kuwa Bobi Wine na mchumba wake Barbara Itungo, wanavutana kuhusu aina ya vinywaji vitakavyokuwepo kwenye sherehe ya harusi yao....
BOBI WINE vs BARBIE WINE
Coz Barbie ameokoka na kufunguka kuwa hataki aina yoyote ya pombe kwenye sherehe hiyo,wakati Bobi anaonyesha msisitizo kuwa lazima pombe igaiwe kwa washikaji zake,na kwa sasa wamebadilisha ukumbi wa sherehe utakaofanyika wedding reception yao toka Serena Hotel na kuhamia One Love Beach pande za Busabala,Na harusi inatarajiwa kufanyika August 26 na watu wa karibu wa Bobi na Barbie wamefunguka kuwa huenda shs milioni 100 za Uganda zikatumika kwenya sherehe ya harusi yao...

No comments