Breaking News

Hatimae Langa kuachana kabisa na matumizi ya madawa yakulevya

Msanii mwenye heshima kubwa kwenye muziki wa Hip Hop Tanzania mtu mzima Langa ambae kwa muda mrefu alikua amejikita kwenye matumizi ya madawa ya kulevya (Unga) Leo  akiwa ameweza kuja upya kwenye game na pia kutoa tamko rasmi kua kwasasa amefanikiwa kujitoa kwenye matumizi ya madawa ambayo yalimtesa kwa muda wa miaka zaidi ya mitano na kueleza mipango yake ya kuanzisha rehab yake mwenyewe ambayo itaweza kusaidia vijana ambao wanapitia matatizo ambayo yeye ameyapitia na akaweza kujitoa....................................

No comments