Breaking News

....MSANII JAGUAR....AZUA UTATA KENYA....!


....JAGUAR'S TURKANA MISSION....
Wiki iliyopita,majarida ya burudani mengi yalifunguka "Jaguar's Turkana Mission" kuwa rapper Jaguar aliripotiwa kuwa alikwenda pande za Turkana kuwasaidia wananchi Kenyan wanaokabiliwa na njaa....
Ilisemekana kuwa Jaguar alifunguka kwenye Facebook page kuwa alichangia chakula na kufanya charity concert Lodwar,kwa ajili ya kambi ya Kakuma Refugee na kudaiwa kutoa 300,000/= na kutembea kilometa 20 pande za Lodwar tarehe 6th August,2011
Lakini kwa sasa kumezuka utata coz imefunguliwa kuwa Jagua alikwenda Turkana na ndege na inadaiwa toka Lodwar mpaka Lokitaung Junction,ukielekea Kakuma na Lokichogio,ni kilometa 40 na toka Lodwar - Kitale Highway,ni kilometa 50 na mdau alifunguka kuwa alikua airport ya lodwar akisubiri ndege toka Nairobi na Jaguar na waliwasili Nairobi kupitia Kitale sasa Jaguar alitembea wapi?
Na pia kua alipfanya show ya hisani aliyopiga klabu Club pale Lodwar si kweli, coz show hiyo ilitangazwa na kulikua na posters na watu walilipa kiingilio 200/- za Kenya na kama sio kujitakia umaarufu tu kutokana na matatizo flani na kutengeneza story?

No comments