Breaking News

WASANII WAKUBWA AFRIKA...KUPIGA SHOW TUNISIA..!


YOUSSOU N'DOUR - SENEGAL
Africa Superstars Youssou N’Dour toka Senegal na Angelique Kidjo toka Benin pamoja artist toka Tunisia wanatarajiwa kupiga show kwenye concert iliyoandaliwa na Mo Ibrahim Foundation itakayofanyika nchini Tunisia mwezi November,2011
ANGELIQUE KIDJO - BENIN
Wasanii hao watapiga show hiyo kwenye mkusanyiko wa viongozi wa dunia wanaokutana nchini Tunisia kwa ajili ya kutambua mchango wa vijana wa Tunisia kwa nchi yao

No comments