Breaking News

BOBI WINE....AZINGUANA NA WAANDAAJI PAM AWARDS..!

 


Album launch ya Fire Base Crew na Ghetto Gladiator Bobi Wine imepangwa kuzinduliwa siku moja na siku ya utolewaji wa Tuzo za PAM – 2011 za nchini Uganda
Waandaaji wa PAM Awards wameshatangaza kuwa November 5,2011 ni siku ya utoaji wa tuzo hizo,na Bobi Wine nae akafunguka kuwa atafanya uzinduzi tarehe hiyo hiyo na wadau wa muziki nchini Uganda wamefunguka kuwa huenda uamuzi huo ukaanzisha beef kati ya pande hizo 2 na Boss wa PAM Awards,Isaac Mulindwa ametahadharisha kuwa hii ni kama kutaka kuharibiana shughuli...kiaina coz mwaka jana wasanii wengi wakubwa nchini humo walizitolewa nje kiaina tuzo hizo

No comments