GARI LA YOUNG BUCK LASHAMBULIWA KWA RISASI!
.
Polisi wa Nashville huko
Marekani bado wanaendelea kuwasaka watu wasiofahamika ambao wanatuhumiwa
kulishambulia mara kumi na moja kwa risasi, gari la rapper Young Buck,
member wa zamani wa kundi la G unit.
Kenyetta Rainey girlfriend wa Young Buck.
Inasemekana gari la watu hao
lilisimama mbele ya gari la Young Buck ambapo waliokua ndani walianza
kurusha risasi ovyo, lakini hawakufanikiwa kumpata Young Buck kwa sababu
yeye na mtu mwingine walifanikiwa kukimbia.
Mwanamke aliebaki ndani ya gari
hilo Kenyetta Rainey anaetajwa kuwa girlfriend wa Young Buck ndio
alijeruhiwa kwa risasi na kukimbizwa hospitali alikotibiwa na kuruhusiwa
kuondoka.
Kwa mujibu wa allhiphop,
inasemekana kulitokea ugomvi club kabla ya tukio hilo na ndio maana
tukio hilo linahusishwa na washkaji ambao walizinguana wakiwa club siku
hiyo, kwa saba




No comments