MKE WA BEBE COOL ZUENA ANYOA NYWELE ILI KUCHANGIA WAGONJWA WA SARATANI
“Mwanamke
anapokuwa mja mzito huwa na hamu ya vitu mbalimbali, hamu yangu ilikuwa
kunyoa nywele na nimfurahia kuchangia kwa wagonjwa wa saratani wa
Boston Children’s Cancer Unit. Sasa najisikia fresh,” alisema Zuena
baada ya kunyoa nywele zake.
Zuena
ambaye ana watoto wawili na anatarajia mapacha, amekuwa kwa Obama tangu
mwezi December mwaka jana na tayari Bebe Cool amemtungia wimbo uitwao
‘Missing You.’
Zuena & Bebe CooL




No comments