JE; KUNA HAJA YA KUANZISHWA TUZO ZINAZOHUSU WANA-HIP HOP PEKE YAO???? ; OMMY DIMPOZ
''.....nai nai, ukinikubali sikatai, jua you're already in
my mind ukinipa sikatai, nakupenda sana you're always in my mind always
in my mind, fujo zinanimaliza always in my mind, always in my
mind.....'' DARASA; ''you know life is harder
life is harder life......mi sikati tamaa tamaa cku moja nitapata.....,
watoto wa cku hz ndio maana mengi wanajua mapema, maana wanacheza
walichoona kwenye sinema...... magazeti kila cku ya diamond na wema, wkt
mtaani kuna mengi ya kusema....'' (**hiyo ni baadhi ya mistaari ktk
nyimbo zao ambapo walikuwa wanagombania chipukizi bora) NB: TAKWIMU
ZINAONYESHA WANAOPIGA KURA WENGI NI WANAWAKE(HASA WAMAMA)*******on face book 2day byBonta Concious



No comments