Breaking News

MZIGO MZIMA WA TUZO ZA KILI 2012.

Godzila na Antu wa CLOUDS TV. (picha zote za Redcarpet zimepigwa na bongo5.com)
.
.
.
.
.
.
 
Lisa Jensen.
.
.
.
.
.
Washereheshaji walikua ni Millard Ayo wa CLOUDS FM na Vannesa Mdee wa 102.6 CHOICE FM.
Ommy Dimpoz akiwa na Mchekeshaji kutoka ORIJINO KOMEDI - Mpoki ambae alikua mshereheshaji pia... alichekesha sana! alifanya kazi nzuri..........
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Mtumbuizaji bora wa kike ni Isha Mashauzi, Mtumbuizaji bora wa kiume ni Diamond, Mwimbaji bora wa kiume ni Barnaba, Mwimbaji bora wa kike ni Lady Jaydee, Wimbo bora wa Taarabu ni Full Stop wa Khadija Kopa, Wimbo bora wa mwaka ni Hakunaga wa Sumalee, Wimbo bora wa kiswahili wa bendi ni Dunia daraja wa African Stars, wimbo bora wa R&B Number one fan wa Ben Pol, wimbo bora wa Hiphop ni Mathematics.
Wimbo bora wa Reggae ni Arusha Gold – Warrior from the East, wimbo bora wa Ragga/Dancehall ni Maneno maneno wa Queen Darleen ft Dully Sykes, Repa bora wa mwaka wa bendi ni Kalidjo Kitokololo, Msanii bora wa hiphop ni Roma, Wimbo bora wa Afrika mashariki ni Kigeugeu wa Jaguar, Mtunzi bora wa mwaka ni Diamond, Producer bora ni Maneck, Video bora ya muziki ya mwaka ni Moyo wangu ya Diamond.
Wimbo bora wa Afro pop ni hakunaga wa Sumalee, wimbo bora wa Zouk/Rhumba ni Dushelele ya Ally Kiba, Wimbo bora wenye vionjo vya kiasili ni Vifuu Tundu wa AT ft Mwanne, Msanii bora anaechipukia ni Ommy Dimpoz, Wimbo bora wa kushirikiana ni Nai Nai wa Ommy Dimpoz ft Ali Kiba, Hall of fame kwa taasisi imekwenda kwa JKT, watu binafsi ni wanamuziki King Kiki na Remmy Ongala.

No comments