JINSI NCHI NYINGINE ZA AFRIKA ZILIVYOZUNGUMZIA KIFO CHA KANUMBA.
Elizabeth Gupta mwakilishi
wa Tanzania kwenye shindano la BIG BROTHER AFRICA ambae kwa sasa
anaishi Nigeria amethibitisha kwamba japo Marehemu Steven Kanumba
ameshazikwa lakini mpaka jana bado taarifa za kifo chake zimeendelea
kuzungumziwa nchini Nigeria.
Elizabeth amesema “mpaka sasa
hivi ni kama ndoto, wengine wananitumia msg pia…….. kuna blogs nyingi
wameandika habari zake na kuna watu wengi kutoka sehemu mbalimbali
Africa wamekua wakitoa maoni yao kuhusu hicho kifo. blogs maarufu kama
ya Ikeji, Radio na Magazeti ndio yameipa uzito sana habari ya kifo cha
Kanumba”
hizo hapo chini ni Blogs mbalimbali kubwa za Afrika ambazo zimezungumzia sana taarifa za kifo cha Kanumba.
.
.
.
.
. AYO.COM
No comments