ROMA MKATOLIKI NDANI YA BUKOBA!
JIMMY YEYO
VEST P akiwa na washikaji
Jimmy yeyo kwa stege 1st staging
Mshabiki wakipata show
MWIBA PAMOJA NA VEST P PAMOJA NA WKALI TOKA BK
Artist SUSHI
DULLAH ONE KATIKA PERFOMANCE
Artist DULLAH ONEArtist Vumbe & Sushi wakipagawisha Mashabiki
VEST P
Nimtu na tilalila katika show ya konga na mtaa
Mizuka ya shoo watu kuacha viti wazi na kukimbilia stage
Roma mkatoliki baada ya kuwasihi watu kumuombea Hayati Steven Kanumba
B flow na mizuka ya konga na mtaaa
Artist ROMA
Katika show Roma alielezea maana alisi ya kidole cha mwisho kidole cha mwisho na wa kufunguka akili nanukuu(kutokana na kwamba kidole cha mwisho akina thamani kidole hichi husimamia marehemu wote ambao walisha tangulia mbele ya haki )


No comments