Breaking News

Avril Amewataka Fans Wake Waipe Jina...Nyimbo yake mpya!!!!

Msanii kutoka nchini Kenya maarufu kama Avril amejikuta yupo njia panda baada ya kumaliza kutoa ngoma yake mpya na kushindwa kuipa ngoma hiyo jina na kutaka mashabiki wake kumsaidia kutafutia jina la kuipa ngoma hiyo.
            Avril amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook masaa machache yaliyopita na kutaka mashabiki wampatie msaada wa kuipatia jina ngoma hiyo.
Pia hakusita kuiachia ngoma hiyo ili aweze kukupa nafasi wewe shabiki yake kuisikia na kuweza kupata jina la ngoma hiyo.


No comments