Breaking News

DUH...JOSE CHAMELEONE....AGEUKA CHOKORAA...?!!

 


Nchini Uganda kila kukicha kutengeneza music videos inakua expensive, so artist wanakua wabunifu watoke vipi video ifunike lakini Artist Jose Chamelone aliwaacha hoi fans wake kwenye moja ya video yake hivi karibuni....
Chameleone ali-shoot video yake ya Mukisa Gwo na kama hujawahi kulia, kucheka au kusikitika basi kwenye video hiyo utafanya kimoja kati ya hicho...
Jose alitafuta location ya soko la Nakasero na kujifanya kama chokoraa na huku mavazi yake yakiwa ya hali ya chini akionekana kama masikini fulani hivi kiasi kwamba ungemuona wakati anafanya shooting usinge mtambua ni mshakaji mmoja hivi maarufu sana pande zile....Big Up djcashmizo

No comments