Breaking News

WABUNGE CHADEMA....WALIOTOLEWA BUNGENI MNAMO TAREHE 28...!

 


NAIBU SPIKA - MH JOB NDUGAI Wabunge watatu toka Chama cha CHADEMA wametolewa nje ya ukumbi wa Bunge leo mchana na Naibu Spika,Job Ndugai...
MH GODBLESS LEMA - ARUSHA MJINI
MH TUNDU LISSU - SINGIDA MASHARIKI
MH PETER MSIGWA - IRINGA MJINI

Mbunge wa Arusha-Mjini,Mh GodBless Lema,Mbunge wa Iringa-Mjini Mh Mchungaji Peter Msigwa na Mbunge wa Singida-Mashariki,Mh Tundu Lissu walitolewa nje ya ukumbi wa Bunge kwa utovu wa nidhamu baada ya kuongea bila ya ruhusa ya Naibu Spika....

No comments