AFANDE SELE AMSHUKIA CHID BENZ........... ASEMA BADO NI BWANA MDOGO.......
Msanii
Afande Sele aligeuka mbogo baada kumjibu msanii mwenzake Chid beenz
kuwa hawezi kumteka na hana uwezo huo kwani Afande ameshakua mwanajeshi
JWTZ na akaacha jeshi hivyo awezi kutishiwa amani na raia kama Chid
Beenz.
"mimi nimekua kilipwa mshahara wa Jwtz na nimekulia hapo kariakoo iweje natishiwa na mtoto aliekulia Ilala" ALIONGEA AFANDE
Hii
ilikuwa katika kipindi cha FNL kinachorushwa na EATV ambapo Afande
alifunguka mbaya kwa kitendo chaChid Benz kumwambia atamteka,hata hivyo
afande alielezea jinsi anavyomfahamu Chid na anamchukulia kama bwana
mdogo tu.
Pia
aliweka wazi nia yake ya kutaka kugombea ubunge 2015 ,hivyo Chid
ameombwa kumuomba radhi Afande kwani asipofanya hivyo ni kama
anajimaliza kisanaa kwani ni wazi anatambua Afande ana mashabiki wengi
na kwa kitendo alichokifanya Chid sio cha kiungwana.




No comments