Beyonce:
Wakati mjamzito walisema alikuwa anaweka nguo tumboni kujifanya
mjamzito lakini muda ukafika alipojifungua na kutoa picha za mwanae Blue
Ivy Carter, wakanyamaza. Lakini hawajachoka, na sasa wanasema huyo
mtoto anayetembea naye ni mdoli na sio mtoto wa kweli!!! It doesn't make
any sense! Kwanini afanye hivyo? Waachane naye, anastahili kuwa na
furaha pia.
Your all round entertainer DJ at Bn Djz Entertainment,TV * RADIO * CLUB * EVENTS. Business: djcashmizo@gmail.com. Number One Website and East Africa online Music and Bn Djz Mixes, Video. Download Mp3, Videos, Latest hip hop, Gospel, And South African Song,All waves @
Recent Posts
Comments
DJCashMizo online Music and Video. Download Mp3, Videos, Latest hip hop, Gospel, And South African Song,East Africa,Western Music.
No comments